search

Sikomi - Diamond Platnumz.lrc

LRC Lyrics download
[00:00.000] 作词 : Nasibu Abdul Juma Issaack
[00:00.126] 作曲 : Diamond Platnumz
[00:00.252]Sikomi -Diamond Platnumz
[00:01.37]Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack
[00:20.282]Wanasemaga mapenzi safari
[00:22.127]Unavyopita ndo jinsi unajongea
[00:25.483]Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
[00:30.571]Niliposikiaga habari
[00:32.356]Yakisifika nikakesha nangojea
[00:35.329]Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea
[00:40.542]Ile pruuu mpaka macca
[00:42.388]Nikadandiaga bongo movie
[00:44.937]Kumbe mapenzi hayataki haraka
[00:47.207]Ni kama tango natia tu chumyi
[00:50.134]Mwenzenu nikaoza haswa
[00:52.464]Na kujitia kitandani mjuzi
[00:54.786]Eti nataka fukuza paka
[00:57.217]Badala ya mbwa nikafuga mbuzi
[00:59.890]Hhhmmm
[01:00.837]Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
[01:05.627]Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki
[01:10.467]Moyo ukanambia nasibu sasa mapenzi basi
[01:15.161]Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
[01:20.460]Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi
[01:25.505]Ila nang'ang'ania
[01:26.900]Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine
[01:29.986]Ooh mbona sikomi
[01:32.855]Sikomiii
[01:35.320]Sikomi
[01:36.903]Licha ya mateso haya
[01:39.381]Najiuliza oh sikomiii
[01:41.718]Oh sikomi mbona sikomiii
[01:44.336]Mbona jamani
[01:45.479]Sikomi
[01:46.759]Licha ya mateso haya
[01:50.798]Hhhhmmm
[01:51.89]Aliyonifanyia wa central
[01:52.414]Haki ya mungu siyawezi sema
[01:55.420]Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema
[02:00.428]Moyo walinipatia mateso
[02:02.554]Siwezi kumeza siwezi tema
[02:05.352]Ndio maana sikushanga ile ghafla
[02:07.470]Toka ccm kwenda chadema
[02:10.777]Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie
[02:15.592]Nikajitia ukamanda yatakwisha
[02:17.984]Wacha nivumilie
[02:20.565]Kila kiza kikitanda
[02:22.297]Ndo visa machozi me nilie
[02:25.359]Penzi yakatia parapanda
[02:27.629]Kuwaita waje washambulie
[02:29.890]Aah
[02:30.205]Acha na penny we darling
[02:33.43]Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba
[02:37.502]Mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii
[02:40.366]Mola akanitunuku zari
[02:42.863]Akanzalia dume na mwali
[02:45.447]Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka
[02:48.497]Kwa vyombo vya habari
[02:50.626]Moyo unanambia nasibu sasa mapenzi basi
[02:55.360]Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
[03:00.433]Lizer ananiambia simba mapenzi basi
[03:05.409]Ila nang'ang'ania
[03:07.56]Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine
[03:10.106]Ooh mbona sikomi mboooona
[03:12.842]Sikomiii mbona jamani
[03:15.483]Sikomi
[03:17.160]Licha ya mateso haya
[03:19.337]Eh nishafumania oh sikomiii
[03:21.906]Nikafumaniwa mimi sikomi
[03:23.966]Nishagombana na watu sikomiii
[03:27.153]Licha ya mateso haya
[03:28.778]Licha ya mateso haya
text lyrics
作词 : Nasibu Abdul Juma Issaack
作曲 : Diamond Platnumz
Sikomi -Diamond Platnumz
Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack
Wanasemaga mapenzi safari
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
Niliposikiaga habari
Yakisifika nikakesha nangojea
Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea
Ile pruuu mpaka macca
Nikadandiaga bongo movie
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Ni kama tango natia tu chumyi
Mwenzenu nikaoza haswa
Na kujitia kitandani mjuzi
Eti nataka fukuza paka
Badala ya mbwa nikafuga mbuzi
Hhhmmm
Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki
Moyo ukanambia nasibu sasa mapenzi basi
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi
Ila nang'ang'ania
Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine
Ooh mbona sikomi
Sikomiii
Sikomi
Licha ya mateso haya
Najiuliza oh sikomiii
Oh sikomi mbona sikomiii
Mbona jamani
Sikomi
Licha ya mateso haya
Hhhhmmm
Aliyonifanyia wa central
Haki ya mungu siyawezi sema
Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema
Moyo walinipatia mateso
Siwezi kumeza siwezi tema
Ndio maana sikushanga ile ghafla
Toka ccm kwenda chadema
Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie
Nikajitia ukamanda yatakwisha
Wacha nivumilie
Kila kiza kikitanda
Ndo visa machozi me nilie
Penzi yakatia parapanda
Kuwaita waje washambulie
Aah
Acha na penny we darling
Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba
Mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii
Mola akanitunuku zari
Akanzalia dume na mwali
Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka
Kwa vyombo vya habari
Moyo unanambia nasibu sasa mapenzi basi
Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
Lizer ananiambia simba mapenzi basi
Ila nang'ang'ania
Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine
Ooh mbona sikomi mboooona
Sikomiii mbona jamani
Sikomi
Licha ya mateso haya
Eh nishafumania oh sikomiii
Nikafumaniwa mimi sikomi
Nishagombana na watu sikomiii
Licha ya mateso haya
Licha ya mateso haya